youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Hakuna kitu kizuri kama kutafakari upande wa pili wa shilingi,
Lowassa ukubali ukatae, kama ungepitishwa kugombea urais kupitia Ccm hakika ungekuwa umedondosha shilingi chooni, kundi lako lisingekutosheleza kwa kura, si kana kwamba hufai ila nasema hivyo nikiwa na maana yangu;
Ccm ni chama kilichochoka kabla ya kuchokwa na wananchi, kama ni mfatiliaji mzuri wa siasa hasa kundi la vijana kuna kauli wanaitumia kuwa hata upinzani wangeweka jiwe tungelipigia kura kwa nini waseme hivyo?
ni kwamba wameichoka Ccm iliyochoka na ndo maana wamebase upande wa upinzani.
Tukigeuza shilingi upande wa pili jibu linakuja hivi;
bila Lowassa upinzani ingekuwa vigumu kushinda, wafuasi wenu wasingetosheleza kuwapa kura za ushindi, kundi la watu alilowaongezea Lowassa limewapaisha juu kwani mpaka sasa ndani ya Ccm kuna wafuasi watampigia kura Mh Edward Lowassa.
Maana yangu ni kwamba Lowassa umepata advantage ya upinzani na upinzan pia umepata advantage kutoka kwako.
NAKUHAKIKISHIA USHINDI 25,OCTOBER.