Lowassa azindua kampeni Gongo la Mboto

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
Lowassa AZINDUA KAMPENI GONGOLAMBOTO. UKAWA WAMKIMBIA





 
Imefika wakat watz tuache kudanganywa kirahisi rahisi namna hii
 
Lazima utakuwa unalipwa vizuri sana kutoka kwenye "kasima ya midia"

nimepenyezewa "za chini ya kapeti" kuwa uzinduzi wa hawa jamaa "balali ndani"!!!

kama ni kweli tafuteni kwa kujificha.
 
Ulitaka asiende gongo la mboto aje chumbani kwako?
Naona mahaba yako kwa Lowassa yamepitiliza.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…