Lowassa azidi kuchanua, aonekana mwenye furaha na afya CHADEMA

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
ImageUploadedByJamiiForums1452522160.322653.jpg

imageuploadedbyjamiiforums1452522445-810866-jpg.316201


Wale wote waliokuwa wakimtakia mabaya Rais wa mioyo ya watu Mh Lowassa sasa wanaumbuka.
Lowassa anazidi kuchanua na afya inazidi kuwa ya ujana, tofauti na alivyo kuwa CCM
Hii inamanisha alipo sasa Lowassa ni sehemu sahihi zaidi ya alipotoka. Sifa na heshima kubwa ziwaendee mama Lowassa na Mwenyekiti Freeman na wana UKAWA wote
Ukawa kwa afya!
 
Ameeeeen na iwaume wana lumumba wote
 
Last edited by a moderator:
Afya imeimarika baada ya kupumzika na mikiki ya Kampeni baada ya tarehe 24 kama kampeni zingeendelea kwa mwezi mmoja zaidi ingebidi abebwe kwa machela
 
Afya imeimarika baada ya kupumzika na mikiki ya Kampeni baada ya tarehe 24 kama kampeni zingeendelea kwa mwezi mmoja zaidi ingebidi abebwe kwa machela
Yule ngosha zingeendelea ile sauti ingekuwa je?Hope angekuwa anaongea kwa ishara sasa hv
 
HII NAYO HABARI YA KULETA HAPA?? HUYO NI NANI MBONA TULISHAMSAHAU BAADA YA KUSHINDWA UCHAGUZI????
 
Yule bodigadi aliekuwa anakaba man to man yupo wapi.
 
Last edited by a moderator:
Usissahau CHADEMA ndio walikuwa wanamtia udhaifu kwa kumuita mwizi na fisadi SAA zote hadi alipowanunua!
Nadhani kulikoni kumsifu Mbowe, sema tu shikamoo pesa!
Huyu mzee amani yake ameigharamikia!
Mungu aendelee kukupa afya njema mh. Lowasa na endeleaa kutumika watanzania ktk siasa kadri afya na nafasi ambayo Mungu atakujaalia!
Ingawa tunatofautiana kiitikadi, lkn mchango wako ktk siasa za nchi hii Mimi binafsi nauheshimu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom