Lowassa avamia mikutano ya CHADEMA Monduli

Ila hii tabia ya kuandika barua kwenda kwa mkuu wa wilaya ambaye ni mwanaCCM kweli ina tija?
 
Huyu mzee wa kutetemeka mwache aangaike mwisho wake kisiasa umefika.
 
laki si pesa ni kibiko, yaani ana habari za Tz nzima.... hii inaonyesha huyu ni kibaraka tu mdaka tonge alie kwenye mitandao kutetea magamba hata kama hana data na hata kama taifa linafisadiwa.....

Hahaha,uyu asikusumbue tushamzoea umu jamvini,yupo kazini anaangaikia buku 7!!
 

Hahaaaaa. Mnajifanya kulalamika wakati inajulikana kuwa huyo ni DON wenu.
 

Hahaaaaa. Mnajifanya kulalamika wakati inajulikana kuwa huyo ni DON wenu. Hadanganyiki mtu hapa.
 

Wewe unasumbuliwa na laana ya kumtelekeza mke na watoto! CHADEMA Monduli ipo Mto wa Mmbu tu tena kwenye sehemu chache. Losuriwa CCM pure.
 
Kuna watu povu linawatoka hata bila reserch lowaasa hafai keanza mwakaniapema atakuwa kajua
 
Kuandika barua kwa mkuu wa wilaya ambaye ni kada wa ccm kwa maoni yangu ni kama kumpigia mbuzi gitaa. Sidhani kana kuna tija!
 
Ukikataliwa na JK ni basi tena, jiulize hata JK anaweza kukukataaaaa bado tu hujitambuii?
 
Lowasa ni mgonjwa anayetafuta sababu ya kifo chake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…