Lowassa atazidi kukatwa

Watakatwa sana tu kuanzia wabunge na madiwani
 
Ikumbukwe CCM ilimktata 1995, Amekatwa tena mwka 2015 na atakatwa tena October 25, Kama alivokuwa akiwakata Wengine. Muosha Huoshwa! Tulia Uoshwe.

Yaani title kuuubwa halafu umeandika huu upuuzi?
 
Ni zaidi ya kukatwa,wanainchi watamkata zaidi
 
Mfia gamba
 
Ikumbukwe CCM ilimktata 1995, Amekatwa tena mwka 2015 na atakatwa tena October 25, Kama alivokuwa akiwakata Wengine. Muosha Huoshwa! Tulia Uoshwe.

Weye ndio wakatwa,,,na wakalia kigogo mtaaa wa nyuma shekhe.
 
Lazima tuumkate tenah October na tutazidi kumkata
 
Escrow. Viva Roma viva.

swissme
 
Kwa sasa anajuta ni kwa nini alikimbia chama. Magufuli hakikisha katika uongozi wako huyu mzee anarudisha feza za walipa kodi alizopokonya.

kaa ukijta kumgusa E.L kuhusu ufisadi ni sawa na kukizika chama cha mapinduzi.maana mpaka mgombea wenu itabidi anyongwe pamoja na mwenyekiti wenu wa chama.
 
Acha kuhangaika wewe, mzee wenu lazima akaungane na akina Mramba muda si mrefu.
 
Ikumbukwe CCM ilimktata 1995, Amekatwa tena mwka 2015 na atakatwa tena October 25, Kama alivokuwa akiwakata Wengine. Muosha Huoshwa! Tulia Uoshwe.

Ni mtindo wa kukatwa hakuna jinsi.
 
Ikumbukwe CCM ilimktata 1995, Amekatwa tena mwka 2015 na atakatwa tena October 25, Kama alivokuwa akiwakata Wengine. Muosha Huoshwa! Tulia Uoshwe.

Haaaaaaah na October 25 atakatwa tena
 
Kwa sasa anajuta ni kwa nini alikimbia chama. Magufuli hakikisha katika uongozi wako huyu mzee anarudisha feza za walipa kodi alizopokonya.

Lowasa Ana nyota ya mkasi
Alikatwa na nyerere
Akakatwa na kamati ya maadili
Na sasa October atakatwa na wananchi wote
 
Uko sawa kabisa
Mwisho wa maigizo na figisu zote n week tatu zijazo

Na magufuli anaapishwa siku yake ya kuzaliwa hapo oktoba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…