Lowassa asingevaa gwanda wakati wa kampeni.

Lowassa asingevaa gwanda wakati wa kampeni.

challebahu maige nim

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
315
Reaction score
77
Nafikiri wangebuni vazi ambalo lingewakilisha vyama vyote vinavyo unda ukawa, vazi hilo pia lingetumika kwa wagombea wote wa ubunge na madiwani, hii ingesaidia kwa washabiki wa vyama hivyo kwani washabiki wengi hasa wa vijini hawana uelewa wa muungano huo, hii imejionyesha katika chaguzi za serikali za mitaa
 
Kweli wasioneshe hali ya ku base chama kimoja..wawe kama team moja.team ukawa.
 
Ukawa wauchukue huu ushauri ni muhimu lakini pia nadhani wameliona hilo ndo maana wagombea wa urais hawakuvaa gwanda.
 
lowasa na duni niwagombea wa urais kupitia chadema. ni haki yao ya msingi kabisa kuvaa gwanda.
 
Back
Top Bottom