Sasa tuta aminje kama habari yako niya kweli,tulikua tumeandaa sherehe fisadi anakufa ni ushindi kwetu Mungu anakuwa amejibu maombi yetu.
Komba na giza kuu hapa sasa hatujui nani uzi wake ni ukweli maana wote hamjatoa source ya kueleweka ambayo hata nikitaka kuverify naweza. Hebu komba anza kwa kutueleza hivyo vi pasha habari vyako ni vipi.
Ni vizuri siku zote kupata ukweli halisi. Hata hivyo mkuu, picha uliyoweka hapa si lazima iwe uthibitisho kuwa EL yuko Morocco. Ni vizuri udisclose sorce ya information uliyotoa hapa, usije na wewe ukafananishwa na gizakuu.
Komba na giza kuu hapa sasa hatujui nani uzi wake ni ukweli maana wote hamjatoa source ya kueleweka ambayo hata nikitaka kuverify naweza. Hebu komba anza kwa kutueleza hivyo vi pasha habari vyako ni vipi.
Amini unachoamini. Hulazimishwi.
Hivi kuna mtu anajua madhumuni ya ziara hii ni nini?
nyote siwaamin labda aliye sema lowasa mgonjwa ntamuelewa. Humu jf wapo watu kibao wanampigia debe lowasa na kumsafisha na hawataki lowasa asemwe kwa mabaya yoyote. Huyu lowasa mgonjwa tu hadi atakapo kanusha. hizi picha zimepigwa lini? tuacheni kidogo bana.
Mod fuatilie kama ni kweli mwanzisha thread ile nyingine mpige ban. JF tunaitumia kama kupashana habari sasa kama inatumika kueneza uzushi ni hatari.