Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 312
mashonde ndiyo manini kijana Buji?kichwa kigumu kimejaa mashonde
Hamkumwelewa anataka achaguliwe kuwa Laigwanani huko kwao umasaini si Rais wa Tanzania.Source FB katika wall ya Edward Lowasa ambaye anajulikana kwa jina la Edward Lowasa the NEXT President of United Republic of Tanzania.
tarehe 13.10.2011 saa 12.59 pm amepost maneno yafuatayo, "siwezi kuahidi mengi kama ilivyokuwa kwa serekali iliyopo madarakani hivi sasa.
Ninachoweza kuahidi kwa sasa Ndugu zangu WATANZANIA ni hichi..."Nichague mimi na hutojutia kunipa kura yako"
Nawatakia mapumziko Mema Tumkumbuke Mwalimu na tudumishe Amani
na Upendo aliotuachiaa." mwisho wa kunukuu
Hiihi misamiati mingine bwana.... mashonde? ndio maguduria gani
Source FB katika wall ya Edward Lowasa ambaye anajulikana kwa jina la Edward Lowasa the NEXT President of United Republic of Tanzania.