Elections 2015 Lowassa ana Faida Nyingi Mno Tusimbeze, Hapa Ni Faida Kwa Taifa Mbeleni, Hata Hapa JF

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Naanza Kwa Kukusihi Moderator Usi Move Uzi Huu,
Edward Lowassa Ana Faida Kwa Taifa Ili Mfano
1. Atatumika Kama Case Study Ya Kufundishia Somo La Ubadhilifu Wa Fedha,Au Kama Sample Space Kwa Masomo Ya Chini Juu Ya Ufisad
2. Ikitokea Waziri Mkuu Yeyote Akiwa Fisadi, Bunge Linaweza Kutumia Maamuz Ya Ku Refer Jinsi El Alivyowajibishwa
3. Maaskofu Watakuwa Makin Sana Na Kila Sadaka Inayotolewa Na Malengo Yake, Pia Wahumin Watatambua Aina Ya Maaskofu
4. Taifa Halitapuuza Tena Ushauri Wa Waasisi Kama Nyerere
5. Rais Yeyote Hatakuja Kumpa Mtu Ambaye Ni Rafik Alopitiliza Uwazir Mkuu,
6. Kesi Za Ubadhilifu Ztakuwa Zinapelekwa Mapema Mahakaman Kukwepa Yaliyomtokea Jk Kwa El
7. Imeleta Tathmin Ya Zao La Wasomi Tunaozalisha Kama Taifa Hawa Reason Hasa Lissu
8. Itadhihirisha Kuwa Pesa Haiwez Kununua Kila Kitu Hasa Urais Wa Nchi
9. Ukigeu Geu Wa Wanasiasa Wa Ulimwengu Wa 3, Mbowe, Sumaye Na Cdm,
10. Kutoa Ushahid Mapema Kabla Ya Hatua Muhim Kuliko Kukaa Na Makaratas Kama Dr Slaa Anayatoa Akguswa,
PIA NAWE NIPE FAIDA
 
Naanza Kwa Kukusihi Moderator Usi Move Uzi Huu,
Edward Lowassa Ana Faida Nying Taifa Ili
1. Atatumika Kama Case Study Ya Kufundishia Somo La Ubadhilifu Wa Fedha, Au Kama Sample Space Kwa Masomo Ya Chini Juu Ya Ufisad
2. Ikitokea Waziri Mkuu Yeyote Akapga Ela Au Dili, Bunge Linaweza Kutumia Precedent Ya Ku Refer Jin El Alivyowajibishwa
3. Maaskofu Watakuwa Makin Sana Na Kila Sadaka Inayotolewa Na Malengo Yake, Pia Wahumin Watatambua Aina Ya Maaskofu
4. Taifa Halipuuzwa Tena Ushauri Wa Waasisi Kama Nyerere
5. Rais Yeyote Hatakuja Kumpa Mtu Ambaye Ni Rafik Alopitiliza Uwazir Mkuu,
6. Kesi Za Ubadhilifu Ztakuwa Zinapelekwa Mapema Mahakaman Kukwepa Yaliyomtokea Jk Kwa El
7. Imeleta Tathmin Ya Zao La Wasomi Tunaozalisha Kama Taifa Hawa Reason Hasa Lissu
8. Itadhihirisha Kuwa Pesa Haiwez Kununua Kila Kitu Hasa Urais Wa Nchi
9. Ukigeu Geu Wa Wanasiasa Wa Ulimwengu Wa 3, Mbowe, Sumaye Na Cdm,
10. Kutoa Ushahid Mapema Kabla Ya Hatua Muhim Kuliko Kukaa Na Makaratas Kama Dr Slaa Anayatoa Akguswa,
PIA NAWE NIPE FAIDA

Kura yako heri umpe Massawe anayetafutwa na IMTERPOL!
 
Faida Nyingine Ni Kuwa Itadhihirisha Kuwa Kujaza Watu Kwenye Kampen Kwa Malori Haiwez Kukupa Urais, Itakuwa Refference,
 
Itakuwa Refference Kuwa Si Kila Kinachoahidiwa Na Mwananchi Kwenye Kampen Kina Tija, Vingine Ni Kurubuni Wananchi, Mfano Kuahid Kumtoa Babu Seya Gerezan Bila Kujua Kama Kuna Kuingilia Mahakama
 
Kuwa Vijana Weng Wanafuata Mkumbo Wakat Wa Uchaguz Hawajui Kwanin Wanampenda Mtu
 
Kuwa Takukuru Inabid Kupewa Meno Yake Kufanya Kaz Bila Kuingiliwa
 
Usimpigie kura....kwanza kura yako moja haina faida na isitoshe wanamabadiliko hatupendi watu wa aina yako!
 
Back
Top Bottom