Lowassa aliuza Jimbo la Segerea

Kama ni kweli Mtatiro kaachia, basi yawezekana anamwachia Dr.Slaa angombee ili ateuliwe kuwa Waziri Mkuu.

Yaani slaa awe waziri mkuu wa serikali ys mafisadi?
 
Kama hujui bora ukae kimya, segerea likikuwa limeachwa mikonon mwa CUF sasa chadema walifanya lini kura za maoni kule?
Wewe komaa na mambo ya CCM sisi tunasubiri orodha ya wagombea ubunge tuwaunge mkono kuendeleza mapambano
 
source please ?? ukawa wanaye mgombea segerea tayari kwahiyo hakuna mtu atakayemuachia makongoro mahanga na akiachiwa hawezi shinda anyway kwahiyo ukawa watakuwa hawakutumia busara kabisa kumuachia makongoro.

Huwa mnabisha hivi hivi kama mlivyokua mnabisha mlipoambiwa EL anakuja kugombea kwa UKAWA mlikataa mwisho mmeuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…