mechard Rwizile
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 1,571
- 875
DR. Slaa atasema chumba cha kulala kumesafishwa na sio choo tenaWakuu habari za asubuhi,
Nimejiuliza swali hilohapo juu, sababu wote tunafahamu kilicho muondoa Dr. Slaa CHADEMA.
Kwa kauli yake Dr. Slaa ni kwamba yeye alijitoa CHADEMA sababu alikuwa ndie aliemtangaza Lowassa katika list of shame, na hakuwa na jinsi ya kumsafisha. Sasa ikitokea akakarudi CCM ningependa kusikia Dr. Slaa anamzungumziaje Lowassa.
Ngoja nisubiri kuona kuna kitu kingine nataka kujifunza hapa.
Magufuli hana kazi kama mtu binafsi kazi zipo za serikali ya CCM ama za CCM. Hata Dr Slaa hana ugonvi na Mbowe alikuwa na ugonvi na CHADEMA kama taasisi kumpokea Lowasa.Kwani Dr Slaa anaenda kufanya kazi na Lowasa ama Magufuli.?
Makanda bwana gia ya angani itawatesa sana.
atasema kinyesi kimerudi chooni, kutoka sebuleniWakuu habari za asubuhi,
Nimejiuliza swali hilohapo juu, sababu wote tunafahamu kilicho muondoa Dr. Slaa CHADEMA.
Kwa kauli yake Dr. Slaa ni kwamba yeye alijitoa CHADEMA sababu alikuwa ndie aliemtangaza Lowassa katika list of shame, na hakuwa na jinsi ya kumsafisha. Sasa ikitokea akakarudi CCM ningependa kusikia Dr. Slaa anamzungumziaje Lowassa.
Ngoja nisubiri kuona kuna kitu kingine nataka kujifunza hapa.
Hana cha kufanya kwa7bu yy kwa sasa c mwana siasa bali ni mtumishi wa serikali nje ya TanzaniaWakuu habari za asubuhi,