Lowassa aibuka kidedea calabash pub mwenge.

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
17,287
10,700
Uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu mno kwa upande wa CCM,ukipanda Daladala Lowasa,vijiweni Lowassa.Ila ya leo ni kali zaidi.Nikiwa
Katika harakati za weekend napata moja moto moja baridi Pale Calabash Pub Mwenge Dar ambapo huwa wanapiga live band basi Umeme ulikatika ghafla wakati watu wakiserebuka kwa muziki.Umeme ulivyokata ghafla ulirudi ukiwa na nguvu kidogo kwa dakika kama kumi hivi.
Hapo ndo Lowassa alipoibuka mshindi kwani watu ghafla wakaanza kuimba Lowasa Mabadiliko wakifuatisha midundo ya ngoma.Wakati jina Lowassa linatamkwa watu walichangamka mno hadi dance floor ikajaa maana hata waliokuwa hawachezi walinyanyuka kucheza kibwagizo cha Lowassa japo kuna wengine walikuwa wanataja Magufuli ila walifunikwa kwa kila kitu.

Hii hali inaonyesha muamko mkubwa wa Wananchi mwaka huu maana kila sehemu ni Lowassa
 
Ma ccm hayataki kusikia kilio cha watz kutaka mabadiriko.
Hakuna namna nyingine
 
Katika kura za pub lazima Lowassa ashinde kwa sababu wananchi wamechoshwa na CCM.

Katika kura halisi, tusubiri matokeo. Ingawa wananchi wanechoshwa na CCM, hilo halina maana wamekubali kumpigia kura Lowassa.
 
Katika kira za pub lazima Lowassa ashinde kwa sababu wananchi wamechoshwa na CCM.

Katika kura halisi, tusubiri matokeo. Ingawa wananchi wanechoshwa na CCM, hilo halina maana wamekubali kumpigia kura Lowassa.
Atleast inaleta matumaini.fulani kuwa huenda sasa hivi suala la uchaguzi likawa ni 50-50.Laiti lama watu wanachoongea mitaani ndicho kingekuwa ndicho watakachofanya kwenye boksi la kura mie ningekuwa nomeshahesabia ushindi kwa Lowassa 80% na zaidi.Lakini.kwa vile kura ni siri hili jambo naliweka 50-50
 
Wabongo wana tabia ya kupaisha mtu mdomoni kwa mkumbo wakati hata hawajajiandikisha kupiga kura, au kuishia kumpigia kura mtu tofauti.

Tutajua hali halisi baada ya uchaguzi.
 
Katika kura za pub lazima Lowassa ashinde kwa sababu wananchi wamechoshwa na CCM.

Katika kura halisi, tusubiri matokeo. Ingawa wananchi wanechoshwa na CCM, hilo halina maana wamekubali kumpigia kura Lowassa.

Hatuitaki CCM Lazima tukipe chama kinachoelekea kushinda,
Maswala ya kwamba hatumkubali hayo baadae kwanza Ushindi alafu baadae ndiyo Masharti.
Lowasa Mabadiliko
 
Mwaka huu tumejiandikisha 104% na hata mkinunua Kadi na kuhujumu bado tutashinda tu.

"Mkinunua kadi" kina nani?

Whats with the one track birdbrained mindset?

I don't have a fvcking dog in this fight.

As far as I am concerned Magufuli ni Pwagu na Lowassa ni Pwaguzi.

Sasa utanipaje habari za kununua kadi na kuhujumu?

Unanisoma kwa woga nini?
 
Kuna mtu mmoja wa ukawa humu jukwaani kaweka uzi wa muhimu sana, sikumbuki title, ila amesema, UKAWA HAWAJAWEKEZA MAENEO YA MBALI NA MJINI KWA KUWEKA WATU WA KUENEZA SERA, NA NDIPO WANAPOPOTEZA KURA NYINGI. Sasa kama mtakuwa mnashangilia kura za kinondoni na Mbeya mjini, Hai na Arusha mjini, kazi mnayo, endeleeni kusheherekea na kujitoa ufahamu wa 'mabadiliko' yatakayoletwa na Lowassa na Sumaye! HAITATOKEA, na kama lowassa akiwa rais mimi ni mwanaume nitajifanyia FELATIO katikati ya kiwanja cha soka hapa kitaani kwetu mchana! Hii ni kumaanisha Lowassa hawi rais wa nchi hii.
 
Back
Top Bottom