Lowassa ageuzwa mradi

Kama unavyodai ni ni kweli anatufisadi inamaana hata wewe upo kwenye mamlaka ya kimaamuzi ndo maana unazjua hizo siri zake za kupata pesa kwanini msimchukulie hatua?

Kama huna uchungu na fedha hizi wewe ni wa ajabu!... Hela hizi anachuma TANESCO kupitia symbion, miradi iliyotokana na fedha za EPA (taasisi zenye majina ALPHA) n.k. Sasa kwanini zitapanywe kabla ya kutaifishwa?
 
Du kali mkuu! halafu unaingia bila hodi jamvini!
 
naona membe amekutuma a baada ya kuona haskiki kbs,mmeona hmsikik mmeamuwa kuja na single nyngne,ila lowassa amesha watafuna tigo,membe mwenyew ana ngwengwe ila tumenyamaza

Sasa hapa membe anaingiaje? ndio maana nasema mara nyingi ccm Membe ni mtu anayewanyima raha mtandao wa mafisadi na wenye kuutamani urais.
 
bas kama hutaki kujibizana na mimi nenda kajibizane na walio kuzaa,au uanzishe mtandao wako
WEWE MSAHAULIFU!... soma post uliyoni-quote kabla ya hizi mbili!... Sikushauri kwenda kutukana wazazi wako... Tutakuelimisha uache mambo ya kijinga!
 
WEWE MSAHAULIFU!... soma post uliyoni-quote kabla ya hizi mbili!... Sikushauri kwenda kutukana wazazi wako... Tutakuelimisha uache mambo ya kijinga!

mkuu nimekushauri tu kwa uzuri,kama hutak kubisha na mimi ina maana kwamba humu jamvin unataka kila unacho andka tukubali,nikakushaur kama utaki kubishan humu jamvin anzisha mtandao wako wakijamii wazaz wako wawe member na ww mwenyewe uwe moderator,nadhan hapo sasa utakuwa umeuridhisha moyo wako
 
Sasa hapa membe anaingiaje? ndio maana nasema mara nyingi ccm Membe ni mtu anayewanyima raha mtandao wa mafisadi na wenye kuutamani urais.

acha ujinga ww,membe hana ubavu wa kupambna na lowassa hilo sahau,huyo amekaa kutegemea familia ya mh rais imbembe,ila asahau suala urais
 
Hujitambui wewe sina muda wa kujibizana na wew
Aliyesema haya jana saa 4:47 asubuhi ni nani? Ni mimi au wewe? Baada ya kuposti ujinga huu, ulianzisha web yako ya kujadiliana ujinga ujinga na mumeo?.. Jifunze adabu!
 
Wewe umenzisha mtandao na wazazi wake ili tuige mfano?
 

Watu wanatokwa damu masaa 24 na wako madarakani wanadunda wewe unashangaa joto la konyagi kwani mtu akiugua lazima afe? wangapi wanapona? mbona walioko madarakani wanaruka kwenda nje kwa matibabu ya majuma na bado wapo? acha ngebe nani sasa msafi unayetaka aje kuongoza? wasafi wangapi wameongoza nchi hii baada ya Nyerere? wote wachafu na wote wagonjwa umeongea pumba tuuuuuu
 
Kweli Mzee apumzike tu yasije tokea kama ya Umaru Yar'Adua wa Nigeria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…