Lowassa ageuzwa mradi

naona membe amekutuma a baada ya kuona haskiki kbs,mmeona hmsikik mmeamuwa kuja na single nyngne,ila lowassa amesha watafuna tigo,membe mwenyew ana ngwengwe ila tumenyamaza
Wewe iko salama?
 
Mmmmmh wewe Mtoa mada unaonekana ni mtu wa ndani sana maana yote haya uliyosema sisi wengine tumeyasikiaa...kazi ipooooo..mzee ajipime sasa kutokana na uhalisia sisi watanzania sio wajinga kiasi kwamba tukachagua mgonjwa na mtu ambae afya yake ni Kama
Ulivyoelezea...na walaji tunawajua wote wewe utakua ni ndugu ya familia ahsante kwa kutujuza mmmmmmhh haya makubwa jamani tutafakari na tusiyapuuze
 
gublod
Join Date : 14th November 2013
Posts : 18
Rep Power : 312
Likes Received3
Likes Given6
gublod, hivi unatofauti na unayemkosoa?
 
Nakupa heshima kwa maoni mazuri!
 
Du! Hii ni baraa, ngoja arudishe chengi ya vijisenti.

Mwache arudishe pesa yetu taratibu labda Mungu kachagua huyu jamaa alipie kwa kuingia gharama kwa njia hii,sasa wewe unataka kuharibu dili na haya maisha magumu watu tusifaidi pesa yetu aliyotuibia?

Muache kwani yeye hajui anachofanya? Kama pesa anazogawa zinakuuma sana kamwambie kwa mdomo au mpigie simu, Kwani hata akigawa ndo vizuri ameshazeeka anarudisha fadhila.
Kama huna uchungu na fedha hizi wewe ni wa ajabu!... Hela hizi anachuma TANESCO kupitia symbion, miradi iliyotokana na fedha za EPA (taasisi zenye majina ALPHA) n.k. Sasa kwanini zitapanywe kabla ya kutaifishwa?
 
Wewe uliyetumwa kumchafua lowassa,wambie waliokutuma wameshindwa ushindani wa kisiasa wamebaki kuchafua watu kupitia wewe,lowassa halali anapigana kiume,waulize walioko znz lowassa kafanya nini leo? Mtachonga sana tu,na mtakuja na mengi lkn jamaa anachanja mbuga
 
Huyu jamaa gublod inaelekea bado bela za kuhongwa kuchafua watu,join date yake inatoa majibu kuwa kwa mabwana zake soon kwa kazi ya kuchafua tu
 
Edward Lowassa amegeuzwa mradi wa watu kujichumia pesa kwa tafsiri ya lugha ya kimjini ni kwamba amefanywa buzi la baadhi ya watu wenye njaa
Nakuunga mkono!...hii ni mara ya tatu nashiriki sherehe zake za kuukaribisha mwaka jimboni kwake, lakini mwaka huu ulikuwa kiboko... Watu zaidi ya 10,000 walikula na kunywa na kusaza kwa gharama yake. ..Maji - Kilimanjaro yalikuwepo, bia na wine za aina mbalimbali zilikuwepo; soda zilikuwepo na sehemu za kugawa chakula zaidi ya 20 zilikuwepo; sehemu ya nyama choma ilitengwa kukata kiu ya wapenda nyama.. zaidi ya milioni 200 zilikatika kwa chakula na vinywaji (kwa hesabu ya haraka) na mambo mengine madogo... mchango wa kujenga hosteli ya kkt yeye na wapambe wake walitoa milioni 87. Alisafirisha viongozi wa CCM kwenda Monduli na kurudi makwao - mikoa mbali mbali kwa gharama kubwa ambayo lazima tulipie akipata urais huyu fisadi!
 

Huyu jamaa gublod inaelekea bado bela za kuhongwa kuchafua watu,join date yake inatoa majibu kuwa kwa mabwana zake soon kwa kazi ya kuchafua tu
Lowassa fisadi!
 
gublod
Join Date : 14th November 2013
Posts : 18
Rep Power : 312
Likes Received3
Likes Given6
gublod, hivi unatofauti na unayemkosoa?

N kweli, hapo inaonesha sina muda mrefu sana, lakini ''objective'' yangu sio kuja kumchafua mtu, ila mtoa mada inaonekana ameingia kwa kazi maalum, spidi yake inaonekana
 
N kweli, hapo inaonesha sina muda mrefu sana, lakini ''objective'' yangu sio kuja kumchafua mtu, ila mtoa mada inaonekana ameingia kwa kazi maalum, spidi yake inaonekana
Taarifa yake ni muhimu!... Ilipaswa aje hivyo kuelimisha watanzania!
 


Kama LOWASSA ni Mradi - Vipi KINANA ? Ndovu zetu zinazidi kupotea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…