Lowassa afunguka akiwa Dodoma

Nijuavyo mimi hakuna hata Mmoja Kiongozi Msafi aliyekuwa hana makosa Tangu aondoke Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Na hapatatokea Kiongozi aliye Bora Zaidi ya Mwalimu Nyerere. Tukitaka kuwachaguwa Viongozi tuwachague tu Viongozi watuongoze nchi lakini hakuna Kiongozi aliye imara na madhubuti kuliko Baba wa Taifa. Viongozi wetu wengi wao ni Wasanii tu Maneno Mengi Vitendo vidogo asanteni.
 

Haruhusiwi kuwa na hisa kwenye hayo makampuni? Ni kosa kisheria? amejimilikisha kama ANBEN ilivyokwapua Kiwira? acha wivu wa kizembe Mkuu... Kiongozi gani hapa bongo asiekuwa na makampuni? mbona wengine wana malorry kibao hadi wanahujumu shirika la reli? mbona hamsemi? Lowassa amethibitisha kuwa yeye ni mtekelezaji na anaweza kutuletea maendelea ndani ya mfumo mbovu wa CCM! ... JK anajuta fitna za akina Membe zilivyo mharibia! PINDA amefanya nini zaidi ya kulia lina na kuendesha program za kung'oa kucha na meno al maarufu LIWALO NA LIWE? ... Lowassa ana entrepreneurship mind, he is a visionary leader, he is ready kuchukua risk hata kama itamgharimu siyo vongozi wengi tulionao wanasubiria msaada wa watu wa marekani huku wanaruhusu madini kukwapuliwa kwa kwenda mbele...
 
Na wewe unakasirika. Hoja ni kwamba amesema ana ng'ombe tu soma vizuri. Suala la kosa ama si kosa kuja wanaochunguza angesema nina kampuni abx
 
Luwasa ni mzungumzaji mzuri lakini kiutendaji hafai kwani ni kiongozi anaeweka maslahi yake mbele na sio ya nchi na kama angeendelea kuwa Waziri Mkuu tungefikia pabaya kuliko tulipo sasa. Cheo alichofikia cha uwaziri mkuu angeweza tekeleza hayo anayosema haihitaji mpaka awe Raisi, ni mjanja amejua makosa aliyofanya, amechukua sasa anataka awe Raisi akombe aiwache nchi uchi kabisa.
 

Bora ya lowassa tajiri hata akiingia hataiba sna kuliko ukatuletee watu walio na njaa kali kama kisu kwahili hapna,lowassa anafaa sna kuwa rais
 
Kiukweli mi sio shabiki walowassa kihivyo lakin huy bwana ana upeo wa hali ya juu,wekeni sias pembeni ni mtendaji hataki mchezo
 

Mkuu baeleze bajue,nilichogunduwa hata sikuhz cdm hawamrushii lowassa makombora wanaomrushia ni ccm wenzake tena ni wae vijana wa membe alio walipia ticket za fastjet kwenda akiongozwa na yule mwiz wa simu bungeni ndio wamebaki wakihaha kumchafuwa lowassa ila hawataamini macho yao,time will tell
 
Teh... Teh.......teh.....

JK bado anauziwa mbuzi kwenye gunia na wazungu lakini safari haziishi. Sasa lowassa kamuumbua.

Hizi ilani za ccm zisikuwa kwenye bajeti ya serikali ndio madhara yake. Bado tunasubiri maisha bora.
 
Kama ni kweli unayo yasema basi hafai kutongoza hafai kuwa Rais wa nchi.
 
nimemkubali tu hapo kwenye kujenga UDOM..bila mashinikizo ya aina hiyo,hakuna kitakachoenda hii nchi.
 
Mimi ni chadema damu ila Kwa huyu mi mvi, tutafute wabunge tu urais Kwa lowassa.
 

Luwasa? Huyu atakuwa ni mwanasiasanwa Timor ya mashariki
 
safi sana! future president ktk suala la michikichi take100% kila chakula ulacho mafuta ni lazima / endapo tutacha kuagiza lots of f/c w'lbe saved bigup!WATANZANIA TUSIFANYE AJIZI WALA MZAHA LOWASSA ATATUTOA HAPA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…