Sio kupoteza mda... Humu ndio pa kujulia habari.. Kama status inakuboa ipotezee sio lazima kukoment... Wengne hatuna vyama Caz chama hakitanipa chakula kamwe.. We mid to know what's going on
Speed za chadema kumuwania EL zaelekea ukingoni maana kila kukicha wanabakia Subirini tunamtambulisha rasmi
Zilonga mbali zitendwa mbali
Imebaku hadithi tu
Lowassa hawezi kuihama CCM kwa vile utajiri wake wote ni wa wizi na hawezi kujitetea jinsi alivyopata hizo mali. Akitoka tu CCM, watamfilisi na hata ikiwezekana watamtia jela. Kumsubiri ni kujipotezea muda, CDM watafute mtu mwingine anayefaa au waamue kuunga mkono mgombea wa chama kingine anayevutia.