Lowasa Rais Mzee zaidi kutokea Tanzania 2025

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,463
Kwaa mbaali namuona huyu Rais Mzee zaidi akichaguliwa kwa kishindo kikubwa sana 2025
Hongera chadema
Hongera ukawa
Hongera Tanzania
Karibu Tanzania mpya

Update:
Naomba kuwakumbusha kauli yangu hii
Mnaoniunga mkono mpooooo?!!!!!
 
Bado tu unaongelea Lowassa!! Duh unaroho ngumu wewe.
 
No way...Si lazima tuongozwe na Lowassa..kuna watu wengi tu wenye uwezo mzuri wa kuongoza toka Upinzani na tunaweza bahatisha toka CCM..
 
Kuna watu wakiambiwa, haya hima abudu lowasa lomayani, watamsujudia
 
wewe kama nani?
Lowassa anawez kuwa raisi wa kuchunga ng'ombe monduli tu pekee yake. Sahau kupata wadhifa wowote tena ndani ya serikali. Itakuwa stori tu watakayo soma vizazi vijavyo kuhusu fisadi Lowassa.

Vizazi vijavyo vitajifunza kuwa wadilifu. Na sio kutafuta umaarufu ili upate uongozi.
 
CHADEMA inastawi majimbo yanayoongozwa na wabunge watokanao na chadema. Sehemu ambazo kuna wabunge watokanao na vyama vingine vitokqnavyo na ukawa chadema inakufa. Hii ni pamoja na maeneo ambapo migogoro baina ya wanaukawa ikapelekea kuanguka kwa wagombea wao. Maeneo kama haya kuna mgawanyiko mkubwa na husuda kubwa.
 
Lowassa anawez kuwa raisi wa kuchunga ng'ombe monduli tu pekee yake. Sahau kupata wadhifa wowote tena ndani ya serikali. Itakuwa stori tu watakayo soma vizazi vijavyo kuhusu fisadi Lowassa.

Vizazi vijavyo vitajifunza kuwa wadilifu. Na sio kutafuta umaarufu ili upate uongozi.
Lowassa kawatoa jasho ccm mnatapatapa tu
 
Lowassa hawezi kuwa rais wa tanzania hata siku moja tanzania hatapata rais kutoka kaskazini .nielewe mimi
What-is-Wrong-with-this-CCM-Photo.png

swissme
 
Hilo suala la kaskazini kutokumtoa Rais ipo siku kaskazini watajitenga na kuwa nchi huru maana hii dhambi ya chuki na uonevu Ina mwisho wake.

Mark and reserve my words

Lowassa hawezi kuwa rais wa tanzania hata siku moja tanzania hatapata rais kutoka kaskazini .nielewe mimi
 
kama ikitokea mwaka 2020 chadema wakasimamisha mgombea uwezekano wa yeye kugombea utakuwa mdogo na hata kama akigombea ataachwa kwa mbali sana na mgombea wa ccm kwani wananchi wengi wa Tanzania ambao ni wa hali ya chini wanajua kuwa rais wa sasa anajali wanyonge tofauti na yeye aliyekuwa anafanya maigizo ya kutembelea mama nitilie na kupanda daladala
 
Hahahah,aisee hii post nimecheka mpaka basi.
Acha wajifariji hao MAKAWA,lakini wanauwa Chama bila kujijua,ila watajua tu 2020
Wamejitega wenyeweeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom