jembe la kigoma
Senior Member
- Mar 23, 2012
- 119
- 19
Imebainika kuwa zile harambee anazoalikwa waziri mkuu aliejiudhuru kwa kashfa ya ufisadi Edward Lowasa na kwenda kuchangia mamilioni ya fedha makanisani na baadhi ya misikiti na taasisi zingine ni masharti ya kuingia Ikulu kama rais ajaye wa Tz, kwa mujibu wa taarifa nilizozipata ambazo hazijathibitishwa rasmi na pande zote mbili,
inadaiwa kuwa alipewa sharti la kurudisha sehemu ya mali zake (fedha) alizozipata kwa njia isiyohalali (ufisadi, wizi na rushwa) azirudishe kwa wananchi wake, sharti hilo kwa mala ya kwanza inadaiwa alipewa na kiongozi mmoja wa dini nchini Islaeli mwaka 2011,
Inadaiwa mwanzoni alipuuzia agizo hilo lakini akaja kushtushwa na mambo kadhaa yaliyokuwa yanamtokea ikiwemo lile la kuitwa Gamba na chama chake cha CCM na viongozi wake huku umma ukiwa unamchukia, na kwa mala ya pili alikuja ambiwa na mhubili maarufu wa kutoka Nigeria Tib Joshua, inasemekana nabii huyo alimwambia ameoteshwa kuwa kuna mali nyingi Lowasa anamiliki alizozipata kwa njia isiyo halali nchini mwake,
Hivyo akamwonya asipotubu na kuwarudishia aliowadhurumu hatapata toba ya kweli,ataandamwa na mikosi na mabalaa lakini kubwa zaidi asahau kuja kuwa rais nchini mwake mpaka pale atakapo zilejesha mali hizo, unaambiwa Lowasa ambaye pia ni mbunge wa monduli aliogopa na kutishika na maono hayo hasa ikizingatiwa ni kwa mala ya pili anaambiwa jambo lilelile na watumishi wa Mungu,ndipo washauri wake wakamshauri azirudishe kwa njia za kuchangia huduma za kijamii na makanisani,mna misikitini, na taasi mbalimbali zenye uhitaji,inadaiwa aliambiwa arudishe fedha zaidi ya bilioni 2 za kitanzania,so mzee hakuwa na budi huku ikizingatiwa kuwa urais nao anautaka na kuupenda

- :iamwithstupid: