Mm simshangai huyu
Kuna kaka mmoja nachati nae nafahamiana nae yani analalamika wasichana wa under 28 wanasumbua sana na yeye ana 30 sasa alichoamua anataka tu kuanzia miaka 30 hata akiwa 35 poa tu kachoka stress , analalamika mnoo najaribu kumsihi mno kuhusu umuhimu wa umri na ndoa
Mana kwa sasa itakuwa sawa ila kuna Miaka 10-15,ama 20 mbele itakuwaje??
Sent from my Infinix X559C using Tapatalk