Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,929
Tupo wengi tu mbona !Hivi kwa hali hii kuna mwanaume anatulia/ anamiliki mwanamke mmoja?
Kunyimwa uroda na mkewe ndilo tatizo kuuNini haswa hupelekea wanaume kumiliki wanawake wengi?
Nyege huwasumbuaNini haswa hupelekea wanawake kuwa na wanaume wengi tukiachana na sababu ya pesa?
Waaminifu wapo lkn pia wasio waaminifu nao wapo wengi tu.Ina maana suala la uaminifu limepotea kabisa?
NdiyoKuna ndoa ambazo zitafanikiwa kuwa kama za bibi na babu zetu?
Wazazi wetu hawakuwa waropokaji bali alitunza siri zao za faragha.Wazazi wetu walifanya nini haswa mpaka wakafanikiwa kudumu kwenye ndoa kwa muda mrefu hivyo? Ina maana hawakuwahi kusalitiana au kukoseana?
mimi sio muhumini wa maswala ya ndoa.utaoa hutooa
Hey Guys! Poleni na majukumu.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Hivi karibuni tumekuwa tukishuhudia matukio mengi na ya kikatili yanayohusishwa na suala zima la mahusiano ya kimapenzi.
Hivi kwa hali hii kuna mwanaume anatulia/ anamiliki mwanamke mmoja?
Nini haswa hupelekea wanaume kumiliki wanawake wengi?
Nini haswa hupelekea wanawake kuwa na wanaume wengi tukiachana na sababu ya pesa?
Ina maana suala la uaminifu limepotea kabisa?
Kuna ndoa ambazo zitafanikiwa kuwa kama za bibi na babu zetu?
Wazazi wetu walifanya nini haswa mpaka wakafanikiwa kudumu kwenye ndoa kwa muda mrefu hivyo? Ina maana hawakuwahi kusalitiana au kukoseana?
Utandawazi umeharibu mfumo mzima wa maisha ya ndoa ya zamani, nowadays ndoa zinafanywa kama maigizo (drama nyingi)Maswali yako ya mwisho naomba nikujibu
Babu na bibi ndoa zao zilidumu sababu
1. Walioana jamii moja ama kabila moja
2. Ndoa zao zilikuwa arranged kwa makubaliano ya familia mbili
3. Dhamira ya kimaisha ama kusudi walikuwa wanaendana kusaidiana shambani kilimo na ufugaji.
4. Simu na mitandao na teknolojia haikuwepo. Bibi hana pa kujipost wala kujua mobetto anaishije ili amuige maisha yake
inabidi tuamini kwamba uaminifu upo na usaliti upo, ila vinzidia rates!!!Hey Guys! Poleni na majukumu.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Hivi karibuni tumekuwa tukishuhudia matukio mengi na ya kikatili yanayohusishwa na suala zima la mahusiano ya kimapenzi.
Hivi kwa hali hii kuna mwanaume anatulia/ anamiliki mwanamke mmoja?
Nini haswa hupelekea wanaume kumiliki wanawake wengi?
Nini haswa hupelekea wanawake kuwa na wanaume wengi tukiachana na sababu ya pesa?
Ina maana suala la uaminifu limepotea kabisa?
Kuna ndoa ambazo zitafanikiwa kuwa kama za bibi na babu zetu?
Wazazi wetu walifanya nini haswa mpaka wakafanikiwa kudumu kwenye ndoa kwa muda mrefu hivyo? Ina maana hawakuwahi kusalitiana au kukoseana?
We kaongoo🤔, hamna Nyimbo ya hivyo🤒.kwa mbali nasikia nyimbo ya stamina inaitwa bushoke
Hayo ni mambo ya kubetKwanini unasema hivyo?
Babu zetu walidumu kwasababu Walioa mabikra.Hey Guys! Poleni na majukumu.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Hivi karibuni tumekuwa tukishuhudia matukio mengi na ya kikatili yanayohusishwa na suala zima la mahusiano ya kimapenzi.
Hivi kwa hali hii kuna mwanaume anatulia/ anamiliki mwanamke mmoja?
Nini haswa hupelekea wanaume kumiliki wanawake wengi?
Nini haswa hupelekea wanawake kuwa na wanaume wengi tukiachana na sababu ya pesa?
Ina maana suala la uaminifu limepotea kabisa?
Kuna ndoa ambazo zitafanikiwa kuwa kama za bibi na babu zetu?
Wazazi wetu walifanya nini haswa mpaka wakafanikiwa kudumu kwenye ndoa kwa muda mrefu hivyo? Ina maana hawakuwahi kusalitiana au kukoseana?
Uhakika 💯Babu zetu walidumu kwasababu Walioa mabikra.