Love denied. Nitakupenda still.


wa kizungu au kiarabu bidada?
Poleh...nnachoshauri komaa muwe wapenzi kisirisiri,
simu,maskype nk zipo na kwani anashinda ndani daily???kama kweli mnapendana HAKUNA LITAKALOSHINDIKANA
hata me hapa acceptable age ila wazazi wakijua nna uhusiano na mtu fulani watazingua tu lazma...
Wazazi are naturally protective lazma wamlinde mtoto wao seeing anything suspicious..
 
mshinga welcome back..... I missed you kwakweli

back to topic mlikua na tofauti gani funguka mzee

thank you, nikieleza sana hatajisikia vizuri kama akiona, but in a simple way, only one of her parent is a Tanzanian, the other parent makes the difference between me and her though she was happy with me na hakuwa muoga hata rafiki zake walipojua na kunijua
 
hapa mkuu haujafunguka vizuri, kwelimambo mengine ni personal sanna, nadhani ndiyo uzuri wa anonymity hapa jf, kuna watu humu wanakujakuomba ushauri kwa matatizo makubwa mno ambayo ngumu kumwambia mtu, lakini watu wanafunguka biila uwoga na wanasaidiwa. funguka mkuu.
 
wa kizungu au kiarabu bidada?
mmmh, mulato.

thanks.

nimekuwa mpole kwanza but this doesnt signal end of our love. Things will get ok sometimes.
 

message delivered for a forum just to reshape a community.

Hapa nilipo ninatumia jina langu halisi, wanamijua wapo hapa na kwa kuwa lengo langu ni kuishauri jamii nahisi maelezo hayo yanakidhi dhamira yangu.

Hapa nafahamika pia japo wewe ni mgeni kwangu.

Ningetaka ushauri ndio ningetumia hata rafiki zangu kueleza lakini kwa vyovyote vile nikiweka maelezo yote itakuwa more than clear kwa wahusika na mimi sitaki kumuona love akiumia zaidi
 
sijakuelewa point yako ipo wapi hasa!!!
 
Huyu bwana ana lake tu. Sentensi ya kwanza haina kasolo iko poa kabisa.

Pole kwa kuwa busy

thanks, sentensi ya kwanza ilikuwa na makosa, nikairekebisha, bv those are minor cases. Mana hayajaathiri mada.
 
Huyu bwana ana lake tu. Sentensi ya kwanza haina kasolo iko poa kabisa.

Pole kwa kuwa busy

thanks, sentensi ya kwanza ilikuwa na makosa, nikairekebisha, but those are minor cases. Mana hayajaathiri mada.
 

umenena kaka, mimi ni mgeni mitaa hii, huenda ndiyo sababu hatufahamiani.
 
wa kizungu au kiarabu bidada?

hata me hapa acceptable age ila wazazi wakijua nna uhusiano na mtu fulani watazingua tu lazma.....
..kwani na wewe ni shombe? (nawapendaje) au economical status ya *mpenzi wa siri* haisomeki? Au hajaenda vidato? ...manake wazazi nao..mmh!!
 
glad to read this from you, thank you though i will still not be available to start topics here though i would like much.

We'll miss you...better late than never
 
Mapenzi yanaumiza na yanatesa ngumu kuelewa kama haujapitia,haya mambo ya wazaz kuingilia uhusiano yalinifanya kumpoteza mtu ambae nlimpenda kupita maelezo,miaka kibao imepita lakn sijaona km ule msemo wa time heals..ukifanya yake...lakn km kuna upendo wa kweli kati yenu mtatafuta njia ya kuwasiliana na kuwa pamoja...poleee
 
Mmhh jaman mimi nimeumia kama najua tatizo lilikuwa nin vile daaaa na ninavyopenda story duu by the way poleni sana bt namuonea huruma sana huyo dada japokuwa sijajua anasumbuliwa na nin endelea kumfariji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…