Love bite

Hizi alama za love bite, bf wangu anapenda sana kuniweka hata mm pia nazipenda ila kuna wakati zinanikosesha raha hasa nikiwa kwenye mjumuiko wa watu tofauti tofauti, cjui ndo zinaandikwa hivyo
Mwambie akuweke kwenye mgongo na mapaja kwengine zinaonekana,na zinakukosesha raha...
 
Hizi alama za love bite, bf wangu anapenda sana kuniweka hata mm pia nazipenda ila kuna wakati zinanikosesha raha hasa nikiwa kwenye mjumuiko wa watu tofauti tofauti, cjui ndo zinaandikwa hivyo

Lavu baiti ndio nini?
 
Mbona uko "sirias" sana, afu what happened to that blue.!? me love that very very..!

Sio kwamba nipo serious dogo sijamsoma

Kwenye simu nashindwa kuweka blue(mchakato wake unachosha)
 
Uuupsii love bite kwa boy be serious..
Penda ngozi yako fikiri Siku akikuacha/ au unavyopita njian jamii inakufikirije
Jitahid kupunguza atajakutia meno ndo upate akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…