Hizi alama za love bite, bf wangu anapenda sana kuniweka hata mm pia nazipenda ila kuna wakati zinanikosesha raha hasa nikiwa kwenye mjumuiko wa watu tofauti tofauti, cjui ndo zinaandikwa hivyo
sijaelewa mama ghati!
uko musoma sehemu ghani?
Nadhani ni wa pale kuruyaa
Hizi alama za love bite, bf wangu anapenda sana kuniweka hata mm pia nazipenda ila kuna wakati zinanikosesha raha hasa nikiwa kwenye mjumuiko wa watu tofauti tofauti, cjui ndo zinaandikwa hivyo
Mi watarime
Muwekeane sirini, sasa mnatangazia umma? Mnazani nyie ndio wa kwanza kutiana?!
Ila ukiona bado mnawekea na 'love bites', ujue bado mko kwenye swit siksitin, enjoy the moment.
Kwa hiyo unataka nini?
Kwa hiyo unataka nini?
kweri mama bhoke?
mbona hariereweki sasa!!
Mi watarime
Sasa mura unataka uriereweje!? hicho ni chambo cha kawaita sana,
Haaaaaaha ushaur
Hyo love bite ndyo nn?embu tufandishane jamani
sasa hiri ridada rinataka nini kwetu fijana!
turirareee au turiache?