Wadau kuna jamaa anatakaa kuniuzia hii saa lakini nimejaribu kutafuta bei zake kwenye Amazon, e bay na kwenye tovuti ya Louis Arden sijapata bei zake ni kitu nimekipenda lakini sijapata kujua bei halisi ili ni Bargain na jamaa.
saa ni Louis Arden LA129ML