Kwenye suala zima la mifumo ya tehama,tuko nyuma sana.Mifumo minhi ya serikali ni duni crude alafu ipo chini muda wote.Nilikuwa nashauri watalaamu wetu waendw google kujifunza