Nafikiri ingekuwa busara kumsahihisha tu, badala ya kumkandya tena!Wala sio petrol mi niko jiran hapa wipes bar ni lori la mafuta ya UTO(kupikia) la sundrop acha kukuza mambo
Alafu we muongo muongo kweli naonaga sana uzi zako
Wala sio petrol mi niko jiran hapa wipes bar ni lori la mafuta ya UTO(kupikia) la sundrop acha kukuza mambo
Alafu we muongo muongo kweli naonaga sana uzi zako
Wewe kzba...utaratibu wa kutoa thread humu jf ni kwamba mtu anaweza kutoa as break news ambazo mwenye uhakika anaweza kuweka saw a. Na kama mtu anatoa uongo ni bora umwambie kwenye Uzi huohuo. Acha kutuambia upo bar unakunywa na vijisenti vyako vya mwisho wa mwezi vitakwisha haraka halafu utusumbue humu. Kama ulikuwa eneo la tukio ungetupa picha za ajali na uthibitisho wa tukio kwa ujumla. Mwisho, hebu nikumbushe thread ambazo nimetoa za uongo. Kama umenifuatilia vizuri mimi ni mmoja wa waajiri wa nchi hii na mlipa kodi mzuri labda hunijui.
Nimeshuhudia watu wengi sana wakiwa wanachota petrol.
Sikuweza kupiga picha kwani nilikuwa naendesha Gari yangu kuelekea Temeke.
Eneo lilipotokea ajali karibu sana na kampuni za kuuza mafuta Gapco na Puma Energy, nakwambia kwa mazingira hayo hata ungekuwa wewe ungesema ya kuwa ni petrol. Ni Mara chache sana Gari iliyojaza mafuta ya uto kutoka bandarini geti namba tatu kupita barabara hii zaidi kupita barabara ya shimo la udongo.
Wewe kzba...utaratibu wa kutoa thread humu jf ni kwamba mtu anaweza kutoa as break news ambazo mwenye uhakika anaweza kuweka saw a. Na kama mtu anatoa uongo ni bora umwambie kwenye Uzi huohuo. Acha kutuambia upo bar unakunywa na vijisenti vyako vya mwisho wa mwezi vitakwisha haraka halafu utusumbue humu. Kama ulikuwa eneo la tukio ungetupa picha za ajali na uthibitisho wa tukio kwa ujumla. Mwisho, hebu nikumbushe thread ambazo nimetoa za uongo. Kama umenifuatilia vizuri mimi ni mmoja wa waajiri wa nchi hii na mlipa kodi mzuri labda hunijui.
Nafikiri ingekuwa busara kumsahihisha tu, badala ya kumkandya tena!