Emmanuel Ndegeya
Member
- Jun 19, 2015
- 46
- 7
Hellow guys, Napenda kujulisha vijana wenzangu ambao wamejikita kutafuta ajira, natafuta watu kama 12 ili tufike 20, tufungue kiwanda kidogo kinachojihusisha na uzalishaji(Production of Cleanliness materials kama Liquid soap, powder soap, windows cleaners, Disinfectants, Sprays n.k) na utoaji wa huduma ya usafi kwa makampuni mbali mbali...tayar tumeishafanya usajir, tunasubir kumalizia TIRDO, TFDA na TBS ili tuanze production mapema mwezi wa Tisa.....
Sifa za partiner
1.Awe ni mchapakazi kwani kwa kuanza tutafanya production na sales sisi wenyewe.
2.Awe na uwezo wa kutafuta tender katika supermaket mbali mbali na baadhi ya maduka ya cosmetics na ya mtaani
3.Awe atleast ana elimu ya marketing, Finance, IT, Chemical processing, Procurement n.k
4.Awe around Dsm.
5.Kama anakazi anaruhusiwa kua partiner kama jinsi our partnership deed itakavyo ainisha katika malipo na gawiwo.
Kianzio ni 500,000 kwa kila membe hahitaji kukituma sehemu yoyote ile, bali...kikao tutakutana mwezi unaoanza wa tisa mapema..utajulishwa ambae utakua umecomfirm kwenye no 0766-088461.
Kwa kutoa huo mchango au kianzio kwa kila mmoja atakitoa kwa makubaliano maalumu ya kisheria ambayo tuta sign kwa document inayokubalika mahakamani.
Alie interested tuwasiliane, kupitia
Barua pepe:ndegeyae@gmail.com
Cintact no. 0766-088461
Karibuni.