Mungu akupe mke mwema,hongera hujawa kama mtu m, moja hivi na mpaka mashangazi yamuueeeHabari jf team.
Nimechoka na maisha ya upweke. Finally, nimeamua kufanya maamuzi magumu kwa mustakabali wa future yangu na familia ambayo Mungu atanibariki.
Natafuta MWANAMKE ambaye anahitaji mwanaume wa KUMUOA na sio anayetaka mwanaume wa KUOANA nae.
Sifa zake :
Awe mwanamke mwaminifu na mwenye hofu ya Mungu asiyekuwa na mambo mengi.
Awe na Miaka kati ya 25 hadi 33.
Awe tayari kutolewa posa baada ya kufahamiana na kuridhiana.
Elimu yeyote hata darasa la 4 B kikubwa awe anajitambua kuhusu maisha.
Mwenye uhitaji aje tujenge maisha pamoja.
Asante.
Asante sana niweke kwenye maombi ili Mungu anipe mwanamke mwema wa kunifaa maishani mwanguKila la kheri mkuu
njoo kwangu sasa...ila umri unaniharbia huu😥😥
AiseeNatafuta MWANAMKE ambaye anahitaji mwanaume wa KUMUOA na sio anayetaka mwanaume wa KUOANA nae.
Mimi mashangazi hapana. Ndio maana nataka age range hiyo kwa sababu by that age range hapo pia wapo graduates wa vyuo vikuu wanaosubiria ajira - kwa hiyo mwenye uhitaji anaweza akawa tu mke wangu na mambo ya ajira yatakuja akiwa mama wa familia tayariMungu akupe mke mwema,hongera hujawa kama mtu m, moja hivi na mpaka mashangazi yamuueee
Me naona Bora angesema angalau awe na D 4 katika masomo ya kemia,fizikia,hisabati na bailojia...Elimu yoyote? utafurahishwa
Ndio boss wangu, maisha ya ndoa sio elimu ya darasani au makaratasi ya kuhitimu Degree.Elimu yoyote? utafurahishwa
Kwahyo tulioishia kidato Cha 4 na tulipata ufaulu wa D 4 tunaruhusiwa kuja ?Mimi mashangazi hapana. Ndio maana nataka age range hiyo kwa sababu by that age range hapo pia wapo graduates wa vyuo vikuu wanaosubiria ajira - kwa hiyo mwenye uhitaji anaweza akawa tu mke wangu na mambo ya ajira yatakuja akiwa mama wa familia tayari
Lakini wapo watu ambao wazazi wao hawakusoma lakini Leo hii watoto wapo kwenye high position na Wana elimu nzuri tuMe naona Bora angesema angalau awe na D 4 katika masomo ya kemia,fizikia,hisabati na bailojia...
Maana watoto hurithi akili kutoka kwa mama
Unaruhusiwa ndio maana nimesema elimu yeyote ileKwahyo tulioishia kidato Cha 4 na tulipata ufaulu wa D 4 tunaruhusiwa kuja ?
Sawa bas mke umepata,njoo nyumban utoe mahaliLakini wapo watu ambao wazazi wao hawakusoma lakini Leo hii watoto wapo kwenye high position na Wana elimu nzuri tu
Upo sahihi kabisa 💯Aisee
Wale waumini wa 50/50 waendelee kusubiri
Upo sahihi kabisa 💯Aisee
Wale waumini wa 50/50 waendelee kusubiri
Njoo nikutengenezee cheti chenye umri unaokidhi vigezo upate ndoa dada yanguila umri unaniharbia huu😥😥
uko kwenye ndoa?Ndio boss wangu, maisha ya ndoa sio elimu ya darasani au makaratasi ya kuhitimu Degree.
Kweli!?njoo kwangu sasa...