Usiwajali wanaokutupia maneno yakejeli kwani maneno yao ni kama maji ya moto hayachomi nyumba,afadhali wewe umesema unamtaka wako mwenyewe wengine wanasema sijui rafiki yangu mara jirani,utampata mwenye kheir na wewe mtangulize Mungu na atakujalia utampata mwenye kukujali anaekuheshimu na kukupenda kwa dhati.....
bila ngawila maisha yanawezekana kweli?sasa hapo umemsaidia au ndio unampotosha kabisa?ni bora aelezwe ukweli la sivyo kilometer zitazidi kusogea bila kumpata huyo anayemtaka,dada punguza masharti kidogo hasa hapo kwenye ngawila,toa kabisa hilo neno.
Mdada tangu alipotuma hapa hajarudi tena........!!!!
Eti professional nimeajiriwa ndo nini?
itabdi nijibandike,,.......!Mtafute ambae haitaji hicho kigezo...!! mbona watu wapo wengi tu...?, ndio maana hii ni love connect yaani inaconnect watu wanaoendana vizuri nina uhakika wapo wanaotaka watu ambao hawapo financially stable wewe shusha bandiko lako la kuomba, na kuwajulisha kwamba haupo financially stable
Hebu ni-beep kwenye hii namba tufanye biashara..1-800-SAY-YEGOMimi ni mdada mwenye umri wa miaka 35,proffesional nimeajiariwa. Natafuta partner aliyenizidi umri, mrefu , prefably 170 cms and above, mature,financial stable.
35 years,financially stable?... Bora nichukue kigoli.kwani wakaka wa 35 hawapo? Mbona wapo wengi tu jamani? Na financial stable ulitaka atafute legelege ? Gdluck mdada waje na cash flow zao kabisa na benk statment loh?
Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 35,proffesional nimeajiariwa. Natafuta partner aliyenizidi umri, mrefu , prefably 170 cms and above, mature,financial stable.
Duh wakuu kwa kutisha hivi kuna mwisho au limit ya kutafuta partner..., kumbukeni "One Man's Meat is other Man's Poison"..,
Kwahiyo mnaosema vigezo havifai wengine ndio wanavipenda.., maisha kila mtu anaendesha kivyake na kwa mapenzi yake..!!
Narudia Plummie usife moyo wewe fanya kile roho inapenda
naomba nimsaidie! ni urefu wa vidole gumba!170cm ni urefu wa nini?
naomba nimsaidie! ni urefu wa vidole gumba!