Princessor
Member
- Aug 30, 2015
- 9
- 7
Ni urafiki tu au na ma something something yamo
Ni urafiki tu au na ma something something yamo
naruhusiwa kukuvisit geto kwako kila siku jioni afta work? If YES, count me in. If YES, njoo PM fastaa bfore sijaghaili. If YES, umenipata. If NO, umekosa a best friend ever!
Hata mie natafuta marafiki tehHizo sifa zake alizotoa tu unajiongeza mwenyewe......
Naomba tu kuuliza, watu hua wanawezaje kua na urafiki wa kupanga au kuomba? Mie kwangu urafiki unatokea tu si amui kwamba natafuta rafiki, kwa maana hiyo rafiki kwa maana ya urafiki anaweza akawa mtu yeyote wa dini, kabila au umri wowote hiyo ni kwangu lakini na ikumbukwe inatokea tu kutokana na baadhi ya vitu yetu kuendana bila kupanga.
Hata mie natafuta marafiki teh
Teh nimependa sera zako
Teh... namimi napendaga sana sera zako. njoo basi tufanye kolabo la 'urafiki wa kudumu'
Mh! Na wewe uko Singida? Mbona wewe haujaweka vigezo na masharti.......
Sitaki ku over take hapa kwenye kona
indelea mbio zako kwa huyu mnyaturu