Looking for electronics and telecommunications internship

Looking for electronics and telecommunications internship

Kivule

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
639
Reaction score
662
Habari ndugu zangu, mimi ni mhitimu wa shahada ya Sayansi ya Elektroniki na mawasiliano.
Nilikua naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia nafasi ya kufanya kazi ya kujitolea katika kampuni yake/yao ili niweze kuongeza ujuzi katika fani husika.
Katika miaka yangu ya chuo niliopitia nina wastani wa kupata GPA ya 4.0 kati ya 5.0
Naimani umu JF kuna watu wa rika mbalimbali na wenye ujuzi mbalimbali hivyo naimani mtanisaidia.

Ahsanteni.
 
Habari ndugu zangu, mimi ni mhitimu wa shahada ya Sayansi ya Elektroniki na mawasiliano katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Nimemaliza mitihani yangu ya mwisho mwezi huu, nikiwa nasubiri matokeo na cheti nilikua naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia nafasi ya kufanya kazi ya kujitolea katika kampuni yake/yao ili niweze kuongeza ujuzi katika fani husika. Katika miaka yangu ya chuo niliopitia nina wastani wa kupata GPA ya 4.0 kati ya 5.0.
Naimani umu JF kuna watu wa rika mbalimbali na wenye ujuzi mbalimbali hivyo naimani mtanisaidia. Kwa ataetaka CV na Provision Statement of Results naweza kumtumia kupitia ujumbe mfupi(PM). Ahsanteni.
Mhamilawa na kundaeli wanasemaje?

sent from my Samsung S9 plus using jamiiforums mobile application.
 
Kila la heri kijana, ila naona telecom industry inapitia changamoto sana kwa sasa. Makampuni yame-outsource engineering department zao. Kwa hiyo kama unataka kazi/internship ni bora uanzie kwenye hao wanao manage services za hayo makampuni.
 
Peleka cv yako Huawei, tigo HQ's wanaweza kukupa shule safi..ila usitegemee kupewa hata senti kama nauli n.k

hata bibi alikuwa binti.
 
Msaada jamani anaeweza kunisaidia.
 
Pole aisee!!! mimi mwnyewe natafuta!!!! Kama hutojali tuwe tunachekiana walau kubadilishana mawili matatu!!!(PM)
 
Mkuu
Mimi ni mzoefu wa hizo kazi nimefanya kwa miaka minne

Njoo inbox nikuelekeze wapi upeleke CV yako
 
tatizo mnashinda humu na hawa wanajita graduate nimefanya nao kazi hawataki kupanda mnara kabisa.
 
Sio kweli mkuu, Telecom Engineer kupanda mnara ni kawaida. Nshapanda sana mkuu nilipokua field. Kama hutojali naomba niwe nakusaidia saidia kazi ili nami nipate uzoefu. Kila kitu nnacho nna Safety boot, helmet na reflector.
tatizo mnashinda humu na hawa wanajita graduate nimefanya nao kazi hawataki kupanda mnara kabisa.
 
...................................................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom