Looking for business manager

Looking for business manager

fundibenz

Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
61
Reaction score
67
Habari wanajf,

Kupitia garage yetu tumeanzisha biashara ya spare,
Tunaagiza kutoka nchi mbalimbali hivyo tunahitaji mfanyakazi kwa ajili ya kazi zifuatazo:
1. Kupokea order za wateja na kuzituma kwa mhusika
2. Kutunza financial records na cash flow management
3. online marketing (social network pages)

Awe angalau na ujuzi wa accounts au marketing.
Tuma maombi
iclickcs@gmail.com
 
Weka na malipo maana Kuna interview kama tatu nimefanya wanakuambia hakuna mshahara ila Kuna posho 10k kwa siku.

Tatizo la maboss mna take advantage ukosefu wa ajira ndo mnachukulia kigezo cha kukandamiza watu.
 
Kama uko tayari tuwasiliane,tukikubariana mshahara hakuna shida.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom