Sasa wewe mzee wa mawasiliano naona bado hujatoa technical details za hiyo unnamed brand!! (au bado ni trade secret?). Weka tech details zote mpaka picha, na ikibidi bei za jumla, wajasiriamali wapo wengi humu wataiweka hewani hiyo kitu, inaonesha mnaiamini (12 months warranty!) wachina wanatoa 5minutes warranty! Halafu imetengenezwa wapi vile, Tanzania (well done)? au ndy NOKILA, BLUETOOTH, SEMA, NGOSHA, BLAKBERRY?!!!....(jocking!)