mwanza yote yangu
Senior Member
- Aug 28, 2014
- 141
- 30
I am looking for a night shift job,location should be around lake zane Mwanza,Shinyanga,Musoma etc
Yaani Mimi binafsi huwa nakereka mtu kuleta tangazo lake ndani ya thread ya MTU.. Kwann usianzishe ya kwakoMe too I am looking for night shift job vacance,
I can work on any kind of industrial production and maintainance activities and constructions.
nipo chuo now nachkulia industrial engineering.
Mwenye namna ambayo tunaweza kufanikisha atushauri jaman

Mwanzo mgumuYaani Mimi binafsi huwa nakereka mtu kuleta tangazo lake ndani ya thread ya MTU.. Kwann usianzishe ya kwako![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
! Tangazo linafanana imekaa poa tu mkuu, Ndiyo kubana matumizi yenyewe ivo kuondoa thread mingi zinazofananaAnhaa basi sawaMwanzo mgumu![]()
! Tangazo linafanana imekaa poa tu mkuu, Ndiyo kubana matumizi yenyewe ivo kuondoa thread mingi zinazofanana
I am looking for a night shift job,location should be around lake zane Mwanza,Shinyanga,Musoma etc
hahaa... duh dentist is very professional job, sijui kama mleta mada ana ujuzi huu.Sasa hapa utapewa kazi gani mkuu na hujasema una ujuzi au taaluma gani
Kuna mtu anahitaji dentist wa part time hapo Mwanza,niPM kama unaweza
Sasa kila mtu akianzisha si patafurika thread za aina mojaYaani Mimi binafsi huwa nakereka mtu kuleta tangazo lake ndani ya thread ya MTU.. Kwann usianzishe ya kwako![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
tunakuwa wabinafsi?. Akipata yy, ukipata ww kuna tatzo gn? Huon thread ztakuwa nying kwa position hyhyo? Your height of success will be determined by how far you're willing to help others. Shortly, we really need to change guys our self-centered thinking.Yaani Mimi binafsi huwa nakereka mtu kuleta tangazo lake ndani ya thread ya MTU.. Kwann usianzishe ya kwako![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()