Looking for a lady friend in Mwanza

yaani icho kingereza akisoma mwingereza hawezi kuelewa hata kidogo. tumeelewa sisi tunaoungaunga
 
Nenda makoroboi mkuu utawaoga mbona
 
Hapana, wote tu wanaweza kunitafta, wawe wanaelewa au kutoelewa Kingereza na Kiswahili its just OK.
Kwetu watz mtu mwenye kupenda kukitumia kiingereza hata kwa mambo lahisi kama haya tunamwona ni "mshamba" au "limbukeni". Lugha yetu adhimu ya the ni utambulisho wetu nasi twajisikia fahari kujinasibisha nayo.
 
Ahsante kwa kunijuza lakini kumbuka kila mtu ako na uhuru wa kujieleza, yaani freedom of expression kwa njia ambayo ataeleweka zaidi. Na ndio maana ukisoma hizi threads zote za Jamii Forum, sio zote ni za Kiswahili, kunazo threads nyingi mno za Kiingereza pia kumaanisha kwamba huo sio ushamba. ushamba ninavyoelewa ni kutokuwa civilized, yaani maisha ya kijijini with no exposure. Sijui sasa jinsi Kiingereza na ushamba zinavyoendana
 
Tunapowasirisha jambo Nia na lengo ni kuona ujumbe unawafikia watu wengi kadri iwezekanavyo. Ili lengo hilo litimie ni vyema kuepuka au kuondoa "barrier of communication". Na hili hutimia kwa kutumia lugha inayotambulika na wengi. "When you're in Rome do as romern do". Ndio maana nikasema kutumia lugha ya kiingereza ni "ushamba".
 
Me mmarekani sijakuelewa una umri wa miaka 3 mwanza, pia una miaka 26, lugha yangu ikikushinda tumia yakwako.
 
Me mmarekani sijakuelewa una umri wa miaka 3 mwanza, pia una miaka 26, lugha yangu ikikushinda tumia yakwako.

Acha nikuelimishe bratha, na elimu yangu ni ya bure. Sitakulipisha hata senti moja bali ntaomba tu ufunguke kiakili ili uweze kuelewa. Nitakutafsiria ili next time uweze kuelewa basic English. Mtu akisema ''Am 3 months old in Mwanza'' hajamaanisha nimezaliwa miezi mitatu iliyopita wala hajamaanisha nimezaliwa miaka mitatu iliyopita. Kwa kiingereza, months ni miezi, na years ni miaka. Kwa hivo nikisema am 3 months old in Mwanza inamaan kwaba nimekaa Mwanza miezi mitatu. Natumai hutaogopa kujifunza haya. Nakutakia mema
 
So in short asiyeelewa English hafai kurespond kwa sababu inamaana kwamba hajaenda shule. Nia yangu kuu sio kufikia watu wengi iwekezekanavyo, bali ifikie watu flani, 'target group' and in this case target group ni wadada literate.
 
Me mmarekani sijakuelewa una umri wa miaka 3 mwanza, pia una miaka 26, lugha yangu ikikushinda tumia yakwako.
haha apo unamumbua mwenzako tu ia kwa maneno aliyoyatumia mbona yuko kinaga tu?
ameishi mwanza miezi mitatu ila ana umri wa miaka 26 mkuu.
 
haha apo unamumbua mwenzako tu ia kwa maneno aliyoyatumia mbona yuko kinaga tu?
ameishi mwanza miezi mitatu ila ana umri wa miaka 26 mkuu.

In fact i know what is he meaning, we are here to refresh ourself, dont mind he is so fit in written and spoken english. fact?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…