Kuna kazi omba zimetoka halmashauri ya manispaa ya babati za maafisa watendaji wa mitaa na vijiji....maana bado halmashauri nyingi hazijatoa nafasi hizo za kazi. Japo ni mikoani. Uwe unapenda kusoma magazeti ya mwananchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.