Naomba kuuliza wajameni......hivi huku kuongezeka kwa kasi ya haya mabandiko ya kutafuta girlfriends humu jamvini, ndo kusema kuwa wadada wa humu wanapatikana kiurahisi sana au??

Asante sana kijana kwa busara zako, tumeshazipokea hizo manina zetu kwa upendo tele tele!! Usiporidhika tukana tena mpendwa wangu......you are warmly wellcome!!