daaah huu kama ni asili na mchina hajahusika hata theluthi basi ni balaa, hata mpiga picha nadhani aliitwa mara kadhaa bila kusikia kama anaitwa kwa kushangaa mabonyeza lol
Mungu ni designer namba moja hakuna mpinzani, na katika uumbaji wake hawezi kuumba urembo wa ajabu kama huu. Huyu amejitakia mwenyewe kwa kutumia product za wenye macho madogo.