Longdistance

Longdistance

kijazi07

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2016
Posts
1,035
Reaction score
2,211
Nibaada ya long distance relationship yapata miez kama 6 iv tunawasiliana vizurri tu kwa simu leo nimeenda mkoan anapoish huyo bidada nimekaa siku ya kwanza yapil akaniacha kwenda sokon nikafungua kabat nikakuta vipimo vya mimba used UPT vili test positive kuwa anamimba nawaza bado anayo iyo mimba au alitoa nimebak mdomo waz amerud nipo out of mood ila nafake smile nadhan itabid nifanye maamuz kama mwanaume. This is second time long distance inanitendea vibaya . wadada msitufanyie iv hata kama mnafanya basi hakikisha unafutilia mbali ushahid nadhidi kuchukia kuoa
 
Pole sana Kama ulikua unaamini katika kutunziwa
 
Mkuu angalia baada ya mwezi utaambiwa ana mimba yako😂😂..

Hii kitu ya long distance relationship probability ya kufail ni 98% hawa 2% ndio wanafanikiwaga...
 
Afadhali umefungua ukaona vipimo....ingekuwa yako hiyo na ukijichanganya ukaenda kavu hiyo yako.
Nilipanga nichek simu yake ila nadhan haina haja tena hili limenirahisishia kaz kesho nikiondoka ndo nimeondoka na leo lazma nimwambie ukwel bila chenga
 
Mkuu angalia baada ya mwezi utaambiwa ana mimba yako..

Hii kitu ya long distance relationship probability ya kufail ni 98% hawa 2% ndio wanafanikiwaga...
Ahh weee leo namwabia kila kitu hapa nawaza anaweza jitetea kuwa ni vya rafiki yake so inabid nijipange
 
Raha ya dushe ulale nalo uamke nalo. Mambo ya long distance tuachie watoto wa sekondari
 
Maisha magumu sana hayo, Wahenga waliosema fimbo ya mbali haiuwi nyoka hawakuwa wajinga waliyaona hayo
 
Unataka ushahidi ufutwe halafu ulee mimba ya mwenzio...
Bora ushahidi uwepo tu
Nibaada ya long distance relationship yapata miez kama 6 iv tunawasiliana vizurri tu kwa simu leo nimeenda mkoan anapoish huyo bidada nimekaa siku ya kwanza yapil akaniacha kwenda sokon nikafungua kabat nikakuta vipimo vya mimba used UPT vili test positive kuwa anamimba nawaza bado anayo iyo mimba au alitoa nimebak mdomo waz amerud nipo out of mood ila nafake smile nadhan itabid nifanye maamuz kama mwanaume. This is second time long distance inanitendea vibaya . wadada msitufanyie iv hata kama mnafanya basi hakikisha unafutilia mbali ushahid nadhidi kuchukia kuoa
 
Mkuu usimwambie chochote, hawa viumbe ni hatari. Babu yetu Adam alipigwa sound akakiuka maagizo ya muumba, itakuwa wewe. Wewe jambo la msingi amsha.
Ahh weee leo namwabia kila kitu hapa nawaza anaweza jitetea kuwa ni vya rafiki yake so inabid nijipange
 
Hamna haja yaku muuliza ataji defend in a way ambayo itaku kasirisha koz utaona ananichukuliaje huyu, and it can turn urgly, I have been there it's not worth it. Stay calm and stay positive. Hawa viumbe nusu fainali ni wakiwa thirties, fainali ni usingle mother
 
Hahahahahahahah si bora umekuta hivo ungekuta kopa la dawa za ARV si ungekufa wew Fanya maamuzi mkuu
 
Mkuu kama huna uwezo wa kuwa karibu na mwenzako basi ni bora uwe single, magonjwa ni mengi sana especially sisi vijana.
 
Watu wamekulakimasihara huko ndio uzuri wa haya mambo unachofanya ndio unachofanyiwa
Watu nyie hapa juzi mlikuwa na uzi mmoja mtamu saaana wa kusherehekea kula tunda kimasihara, mliserebuka sana na kwa madaha na madoido mkajinadi kwa kumwaga maujanja yenu pale kwenye ule uzi.
Matunda yapi sasa?ndio hayaa
 
Watu wamekulakimasihara huko ndio uzuri wa haya mambo unachofanya ndio unachofanyiwa
Say that loud please
Tutendeane kwa wema, uzuri na kujali maumivu ya wengine jamani haya mambo yatapungua kama si kwisha kabisa.
 
Back
Top Bottom