Long-term partner - woman is needed

Ugali wa mzyenge ama nini

msukuma yule analazimisha kiufupi Hana maada

Hapo nika note kitu wanaotafuta wachumba mitandaoni wengi wako na shida imagine huyo bro hatufahamiani ananilazimisha niende Mwanza na ndio kwanza tuna siku 3 tangu tuanze kuongea

Nilipokataa ndio ananiuliza KWANI WEWE NI UGALI? Akimaanisha kuwa naringaringa nini kwamba nisipoenda yeye hawezi kufa njaa


Kajamaa ni kababe
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kwani salikutumia kanauli kadogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…