Long distant relationship

Mpenz wa mbali ni kama sukari kwenye chumba cha watoto hakuna namna wataramba tu.
 
Dah hiyo ni noma, distance never matters incase the roots are strong..maybe kapata mtu mwingine hupo alipo ndio maana
Mmh distance matters alot mkuu, unampa moyo tu
 
Tafuta mwengine..huko keshakutana na wajanja zaidi yako.
 
uko right 1 bill percent


waswahili wanasema fimbo ya mbali haiui nyoka
 
Distant love is a real hallucination
 
Mbona watoto wa kiume ndio wanalilia mapenzi kila nyuzi za kilio basi ni mwanaume shida nini...?
Coz sisi wanawake tunayatunza moyoni maumivu sio lazima kuyaanika mitandaoni, but nasisi pia tunaumizwaga
 
Mkuu pole saaana,,, wanawake huwa wanabadlika saana ,,,anza kujiandaa kisaikolojia na kuwa Tatar kwa lolote litakalotokea
 
Angalia ustaarabu mwingine...kashapata njemba nyingine inamuweka busy
 
Sio kwamba nimekosa cha kukushauri basi tu wacha Nipige kimya maana hii kitu inamaumivu balaa.
 
Fight for what you love' Thats the principle of pure love badala yakuendelea kusubiri iwe mbaya zaidi ni bora upande gari umfate aliko ujue nn shida! Ten hrs nikitu kidogo sana if u mean to love her
Akili mbovu km shabiki wa chadema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…