London: Travel Operators urged to put Tanzania on stop sale after governor's anti-gay move

Wazungu wanautukuza sana ushoga.
Neno ushoga ni la lugha gani. Ushoga tumeusikia hata kabla hatujapata utandawazi mnasema ushoga umekuja juzi? Mababu na mabibi walikuwa na mashoga basi ujue.
 
Uko vizur, ni kweli kabsa
Kesi nyingi za watu wanaoua wanaume wenzao huko ulaya na marekani ni wale homosexual sababu hawataki kukubali kuwa wao wako hivyo. Tunaweza sema na hapa wale wanaopiga kelele sana inabidi wafatiliwe sana yawezekana kama siyo sasa huko nyuma walikuwa au wapo vile ila wamevaa ngozi tofauti.

Pilipili usiyoila inakuwashaje?
 
Yaani wazungu wanavyohaha masikini kwa ishu zao kukatazwa wanatamani waje watufunge kamba sote watupeleke camp David ama Guantanamo ...watiane wao na watoto wao ama waende wakaolewe kwa mzee Mugabe make alimwambia Obama akala kona
 
Hawa wezi kufanya lolote walahi
Vishoga vitapigana na mito baadae vita choka tu walahi
Walevi na watumiaji unga, ni ma addicts, madishi yameyumba walahi
cocochanel kwa kujitoa ufahamu hujambo. Hii I'D yako ya ISIS inaandikaga mambo ya kihuni kwelikweli.
 
Sikubaliani kabisa na hii ishu ya ushoga KABISA ila tatizo MAKONDA anaihandle vibaya hii ishu anaipa attention kubwa Sana bila kujua anaiweka nchi yenye kutegemea wahisani pabaya..... Tanzania so nchi ya Kwanza kukataza hi ishu ila ni vuzuri Hawa watu tukadeal nao kwa njia sahihi isiyosumbua Mana naona Sasa TANZANIA TUNAGEUKA SEHEM YA KUTANGAZA USHOGA.
 
 

Hao wazungu walikuwa wanakuja Tanzania kufanya nini?
 
Vumbi tu litatulia hilo. Mashoga wajipeleke wenyewe kwa Makonda kabla ya Jumatatu. Nadhani amesikia kilio cha segerea kule kuwa wapewe ruksa wake zao wawatembelee angalao 1 kwa mwezi. Akaona watazalishwa wengi waso na baba hivyo akiwapelekea hawa watalainisha miili kule B/up sana Makonda kwa ubunifu safi. Hao ma Delicious wakaoneshe uwezo wao wa kuhimili mihogo huko
 
Stupid operator! Yaani imefikia hatua nchi itishwe na operator!! Nadhani hajifahamu na hafahamu nchi za afrika zikoje. Ni zile hadithi kwamba Afrika wanaishi msituni.
Kwani amemtisha nani.
 
Nani kasema anapenda ushoga hivi mmechanganyikiwa?
 
Huu ndo muda wa kusimama pamoja kama Taifa kupinga udhalim wote unaokiuka maadili ya Mtanzania kisa tu watatukomoa kwa kuzuia watu wao wasije kutalii nchini.

Hivi huko Europe na USA, wote wanaukubali Ushoga??? Kama jibu ni Hapana basi hatuna budi kusimamia kile tunachokiamin kuwa ni maadili yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…