Lollipop to marshmallow

Vipi kuhusu kui update..ninatumia J5 5.1.1 Lollipop..juzi nilenda about na nikaclick sehemu ilioandikwa Software Update...Nikaambiwa kuna update mpya ya Mashmallows 6.1..Click YES to update..
Kwa njia hii siwezi Ku-update ??
Hiyo ndo rahisi sana na haina madhara yoyote kwa simu yako
 
Hapo ndo mwisho wako...otherwise hapo utumie customs roms,hii ni kaz nyingine sasa
Alaf nna changamoto nyingine....nna memory card gb 62 ila nikiweka mfno picha au nyimbo baada ya mda zinatoweka
 
Alaf nna changamoto nyingine....nna memory card gb 62 ila nikiweka mfno picha au nyimbo baada ya mda zinatoweka
Fanya kuscan hiyo memory...mchezo ukiendelea basi memory ya kichina ndo michezo yake...huna budi kutafta memory original
 
Weka link mzee ya hio firmware tuipakue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ