Lollipop to marshmallow

james ngumbe

Member
Joined
Mar 8, 2014
Posts
58
Reaction score
30
Habari...
Nisaidieni kwa hili wana jf..Simu yangu ni Samsung galaxy S4 ambayo ni version 5.0.1
Nataka niichange iwe above ya hapo
 
Tafuta mtu wa karibu anaejua kuhusu roms akusaidie,au kaMa una kichwa chepesi basi uki google tu ni rahisi..vinginevyo tulia hapo hapo utakuja zima simu uanze kujuta.
Kuna video znaonesha tutorial but xjazielewa coz nyng wanaongea kihindi
 
Kuna video znaonesha tutorial but xjazielewa coz nyng wanaongea kihindi
Unatumia s4 model gan? Kwanza unatakiwa kuroot simu yako,kisha utaweka custom recovery then utaflash rom..
 
Vipi kuhusu kui update..ninatumia J5 5.1.1 Lollipop..juzi nilenda about na nikaclick sehemu ilioandikwa Software Update...Nikaambiwa kuna update mpya ya Mashmallows 6.1..Click YES to update..
Kwa njia hii siwezi Ku-update ??
 
Unaweza mkuu..weka tu bando lakutosha basi
 
Ni apps za kwnye computer hzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ