Kuanzia sasa kila atakaye oteshwa na mungu wake anakatwa kichwa.Je watu wataendelea kuoteshwa?
Jibu unalo wewe na yule mimi sina jibu.
Hakuna siri ni DECI mpya hizi. Ulimwengu unatucheka. Watu na akili zao wanadanganywa na watu ambao hawana hata elimu ya kutosha. Watakuja akina Kibwetere (mnamkumbuka?) na nyinyi mtawafuata tu. Si mnataka mihujiza?Kuna kitu kinaendelea TZ kutokana na huu uoteshwaji. Mkibaini hapa! Ni siri iliyofichika.
Kama zilivyoanza saloon, bar za sinza na yadi za magari ndivyo watakavyo zagaa