ni mawazo na move nzuri, tatizo unakuta kuanzia wizarana mpaka ndani ya shirika lenyewe kuna manyang'au yanafanya vikao na makampuni binafsi ya simu kwa 'ujira mbuzi' ili TTCL iendelee kuchechemea!
Logo n nzuri sana huyo aliyeweka hapo awali kaiweka vibaya tu kwa interest zake mwenyewe.. Kapiga picha kwenye t shirt iliyo jikunja ili tu logo ikae vibaya
Logo n nzuri sana huyo aliyeweka hapo awali kaiweka vibaya tu kwa interest zake mwenyewe.. Kapiga picha kwenye t shirt iliyo jikunja ili tu logo ikae vibaya
Nimeona tangazo lao la tv kama vile wanauza sim card zao kwaajili ya internet, itakuwa vizuri kama sim card zao unaweza kutumia kwenye simu au router nyingine sababu zamani ilikuwa lazima utumie na mobile phone zao