ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Haina RCA port hiyo Tv?
Kwaio huu ndo msaada ulioamua kuutoa hapa?Nunua vifaa vinavyoendana siku nyingine, achana na kachumbari.
Hizo hizo za Analog mkuu njano, nyeupe etc kama hujajua kucheza nazo zipo za in na out.
Anza kwenye tv ni in ama out? Kwa msaada zaidi weka model ya TV tuangalie arrangement yake, pia angalia tv kwenye box haina Extra Cable? Siku hizi kupunguza utitiri wa ports kunakuwa na Extension imekaa kama waya wa Earphone nimesahau jina lake.
Pia angalia kwenye bar headphone port nayo inaingiza ama inatoa?
Pia angalia bar haina bluetooth? Tv za kisasa zina bluetooth.
Sindikiza ombi lako na kapicha basi tuone 65" inafananaje
vitu org hivyo..... lazima upate solution...
Kwaio huu ndo msaada ulioamua kuutoa hapa?
Kikawaida mkuu Hdmi ni input tu, ila TV yako ni Exception ina kitu kinaitwa HDMI Earc ambayo ni tech ya kutoa Audio kupitia HDMI. Pia ina Optical hivyo hapo una njia mbili.Model ya Tv ni SMART TV, Samsung QLED 65 Inch. QA65Q60BAKXXA
Inatumia HDMI na Optic Cable. Lakini Speaker za Logitech Hatizumii HDMI wala OPTIC capble. Zina 3 Aux cable Mwishoni na One Port ya Aux Cable. Haina Bluetooth lakini TV ina Option Ya bluetooth
Hii ni Tv kwa Nyuma na Port zake.
View attachment 2582567
View attachment 2582569
Na Hii ni Speaker za Logitech
View attachment 2582572
Hio hapo juu ni Speaker zote 5 za Logitech Take zikiwa Connected kwenye Base.
Hii hapa chini ni Main speaker ya Logitech (Controler)
View attachment 2582575
View attachment 2582577
Hii cord ndio ilipaswa kwenda Kwenye TV na Ku connect
View attachment 2582579
Lakini Hamna Option Ya Kuconnect hizo Cable. Kwenye User Manual wanaonesha kuna Kifaa kinaitwa RCA extractor lakini TV ni Ina HDMI.
Hapo ndio nimekwama.
Msaada
Sindikiza ombi lako na kapicha basi tuone 65" inafananaje