Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,779
- 13,704
Kutoka mjini kwenda airport ni KM 15 Kama sijakosea. Kwanini ukae karibu na airport ilhali daladala zipo mpaka za airport?Habari za kutwa waungwana.Nlikuwa nauliza lodge gani mzuri iliyo karibu na AIRPORT YA MWANZA.Naomba nifahamishwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoka mjini kwenda airport ni KM 15 Kama sijakosea. Kwanini ukae karibu na airport ilhali daladala zipo mpaka za airport?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuelewa lakini bora ulale kuanzia kona ya bwiru kuja mjini. Sacrifice elfu 15 za taxi. Karibu kabisa na airport, hakuna lodge kusema kwamba mtatembea.Mkuu itabid niwahi ndege ya asubuhi mapema pia niko mama yangu mzazi afya yake kidogo so mzuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipata lodge maeneo ya kona ya Bwiru au Pasiansi siyo mbaya. Hapo kona ya Bwiru kuna MS Hotel jirani na Diamond Pub. Bei ya room ni kama 25,000/=. Kutoka kona ya Bwiru hadi airport ni kama kilomita 6 hivi. Na ukiwa na 10,000/= unapata taxi ya kukufikisha airport.
Kama budget imebana sana, aende pale hostel za Kanisa KKKT pale darajani kirumba. Chumba self elfu 10 na ambacho sio self elfu 7 au nane. Ila nauli kutoka pale ni elfu 15 mpaka airport.Ukipata lodge maeneo ya kona ya Bwiru au Pasiansi siyo mbaya. Hapo kona ya Bwiru kuna MS Hotel jirani na Diamond Pub. Bei ya room ni kama 25,000/=. Kutoka kona ya Bwiru hadi airport ni kama kilomita 6 hivi. Na ukiwa na 10,000/= unapata taxi ya kukufikisha airport.
Kumbe pale KKKT kuna hostel? Basi vizuri.Kama budget imebana sana, aende pale hostel za Kanisa KKKT pale darajani kirumba. Chumba self elfu 10 na ambacho sio self elfu 7 au nane. Ila nauli kutoka pale ni elfu 15 mpaka airport.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu itabid niwahi ndege ya asubuhi mapema pia niko mama yangu mzazi afya yake kidogo so mzuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo sehem gani mkuu ili hata nkichukua tax nisibabaikeNenda Lenana tena iko njiani kabisa.
Kutoka Mwanza hakuna ndege ya asubuhi sana na kutoka mjini hadi airport ni 10 km.....so ukilala maeneo ya Ghana mfano planet hotel au Bartholomeo hotel ambazo zinarange kati ya elfu 20 hadi 30 sio mbaya. Saa kumi na mbili unajipakia kwenye daladala hadi airport nauli sh 400 au ukichukua taxi hadi airport haiwezi kuzidi sh elfu 10Mkuu itabid niwahi ndege ya asubuhi mapema pia niko mama yangu mzazi afya yake kidogo so mzuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoka Mwanza hakuna ndege ya asubuhi sana na kutoka mjini hadi airport ni 10 km.....so ukilala maeneo ya Ghana mfano planet hotel au Bartholomeo hotel ambazo zinarange kati ya elfu 20 hadi 30 sio mbaya. Saa kumi na mbili unajipakia kwenye daladala hadi airport nauli sh 400 au ukichukua taxi hadi airport haiwezi kuzidi sh elfu 10
Sent using Jamii Forums mobile app
Pasiansi kuna hotel Lenana labda nyamanoro karibu na kanisa la Anglican kuna lodge nadhani inaitwa Jerusalem........sijui bei za vyumba but haiwezi kuzidi 30 thouKuna lodge ipo Pasiansi jina limenisahau lakini ni kama California kama sikosei pangekufaa zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninayoisema mimi ipo ile njia ya kwenda TBL upande wa kushoto.Pasiansi kuna hotel Lenana labda nyamanoro karibu na kanisa la Anglican kuna lodge nadhani inaitwa Jerusalem nadhani.....sijui bei za vyumba but haiwezi kuzidi 30 thou
Sent using Jamii Forums mobile app