Lodge na sheli zinauzwa

tajirisana

Member
Sep 29, 2010
83
95
1. Lodge mpya kabisa iko mita 50 kutoka barabarani ina eneo la ukubwa robo tatu ekari inauzwa sh.500m.
 
funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
11,430
2,000
madalali uwa wanapenda sana kukurupuka sasa hiyo logde na "sheli" ziko eneo gani Mikocheni au Kisarawe? na wakihitaji wanakupataje majengo yake yana ubora gani? kwa nini huweki picha? toa maelezo ya kutosha
 
tajirisana

Member
Sep 29, 2010
83
95
2.lodge na bar iko mbezi mwisho ilo karibu na ya kwanza hapo juu hii ya pili ukubwa wa eneo lake 800sqm bei sh.500m
3.sheli iko kibaha eneo ukubwa 3270sqm ina pampu 3 bei 2bilion
4.sheli iko kibaha eneo ukubwa ekari 1.5 ina pampu 5 bei 3bilion
5.sheli iko kibaha eneo ukubwa ekari 1.5 ina pampu 5 na yadi kubwa yq kuingiza magari makubwa 30 bei 1.5bilion
kwa mnunuzi nitafute kwenye 0624117199
 
Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,536

wacha waje,waambie pia waku-pm
 
SaaMbovu

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
5,326
2,000
2.lodge na bar iko mbezi mwisho ilo karibu na ya kwanza hapo juu hii ya pili ukubwa wa eneo lake 800sqm bei sh.500m
3.sheli iko kibaha eneo ukubwa 3270sqm ina pampu 3 bei 2bilion
4.sheli iko kibaha eneo ukubwa ekari 1.5 ina pampu 5 bei 3bilion
5.sheli iko kibaha eneo ukubwa ekari 1.5 ina pampu 5 na yadi kubwa yq kuingiza magari makubwa 30 bei 1.5bilion
kwa mnunuzi nitafute kwenye 0624117199
Sijaelewa hapa.
Kituo cha kuuza mafuta ni cha kampuni ya "SHELI"?
 
Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
6,473
2,000
Sheli??? Duh aisee hivi unajua maana ya sheli? Wew utakuwa dalali aisee, siyo kila kitu unataka idalali vitu vingine vinataka uelewa pia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom