Jifunze kuelewe swali na kujibu,,acha siasa takataka...Nilibadilisha gear angani baada ya ilitukio!
View attachment 1510144
Ili linapita mbali zaidi lina sensor na radar pia camera za kisasa zaidi! Ila kilichotokea
Kusoma sio tatizo tatizo kuelewa tu.....Hukawii kusema general hajauawa.
Pambana uelewe sasaKusoma sio tatizo tatizo kuelewa tu.....
[emoji23][emoji23][emoji23]Pambana uelewe sasa
Ndio ulivyoelewa![emoji23][emoji23][emoji23]
Hvyo vishada vyao vitaruka dunia nzima ila vikienda UAJEMI watavinyoosha tu nahavitakaa viende
Ndio nlivyokuelewesha.....Ndio ulivyoelewa!
Wamarekanj hawawezi peleka ac 130 Iran kichwa kichwa. Kumbuka hii ni ndege kubwa haina kasi na pia ni less manouverable.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hvyo vishada vyao vitaruka dunia nzima ila vikienda UAJEMI watavinyoosha tu nahavitakaa viende
fact kabisaWamarekanj hawawezi peleka ac 130 Iran kichwa kichwa. Kumbuka hii ni ndege kubwa haina kasi na pia ni less manouverable.
Hii ndege inaenda sehemu ambayo air defenses zishakuwa neutralised. Huwezi sikia hata siku moja hii ndege inasogelea sehemu yenye s300 battery(ies)
Hata Inzi hukwepa kutua juu ya moto!
Tatizo lako hutumii akili kufikiri.Ila haithubutu kwenda kufanya huo utoto ke IRAN maana yatayoipata hawatakaa wasahau.....
Ila Ahsante kwamakala
Nashkuru Kwakulitambua hili[emoji4][emoji4][emoji4]Hata Inzi hukwepa kutua juu ya moto!
inawezekana wewe ndio hutumii akili zaidi MKUU kuna anaeweza sasa kuishusha hio mifumo ya ulinzi yapale UAJEMI ?!Tatizo lako hutumii akili kufikiri.
Soma utaona inaingia baada ya mifumo ya ulinzi kushushwa
Mkuu hili ata jwtz wana lidondosha! Halina jipyaJifunze kuelewe swali na kujibu,,acha siasa takataka...
Hapo kituko ni nini mkuu?? 😀 😀
Huyu jamaa nahisi anatatizo yeye kang'ang'ania tu Iran hawezi kwenda haiwezi kwenda....wakati imeshaelezwa hiyo ndege haiendi mpaka mifumo ya ulinzi ibomoleweTatizo lako hutumii akili kufikiri.
Soma utaona inaingia baada ya mifumo ya ulinzi kushushwa